Kwa nini mikataba ya uwekezaji (BITs) ipitiwe upya Tanzania?

Katika miaka kadhaa iliyopita Tanzania iliingia hasara ya mabilioni ya shilingi iliyolipa kama fidia kwa kampuni mbalimbali kutokana na kushtakiwa katika mahakama za usuluhishi za kimataifa kuhusu mikataba ya uwekezaji
Mfano october 2023 mgogoro kati ya kampuni ya winshear Gold Corp ya nchini Canada ulitamatika kwa suluhu nje ya mahakama baada ya Tanzania kukubali kulipa dola za marekani 30 milioni (wastani wa Tsh 75 Bilioni) kampuni hiyo ilishatki tanzania baada ya kufutiwa leseni yake kwenye mradi wa